Wednesday, August 10, 2016

Mbona Nchi Twaboromosha? Comments

Rating: 0.0

Hodi hodi nabisha, mlango nyie fungueni
Kuna jambo lantatiza, mahasadi pungueni
Swali langu skiza, kama maji ufukweni
Mbona nchi twaboromosha, hasama kila uchao?
...
Read full text

DEDAN ONYANGO
COMMENTS
Close
Error Success